Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,121
- 165,966
Ni jambazi sugu tangu akiwa mtotoKumbe mzee,nilidhani kijana
Ni mwizi wa nini?
Ni mwizi,Jambazi,Tapeli mkubwa haya mambo wanayofanya kina papa Msofe,huyu Masawe ndiyo mwalimu wao...
Ni mwizi,Jambazi,Tapeli mkubwa haya mambo wanayofanya kina papa Msofe,huyu Masawe ndiyo mwalimu wao...
Ni mwizi wa nini? May be alishakuibia.
Wacha ungese wewe,unajua ni kiasi gani watu wangu wa karibu wamedhulika kutokana na vitendo vya huyu jamaa?,pambavuuuu.Acha wivu wa Kike wewe,mwache awaibie hao hao wezi wa mali za Umma na matajiri wenzake. Unataka kuniambia wizi au utapeli wake una directly impacts gani kwako na kwa Maisha ya Watanzania wengi kuliko hayo Majizi ya Serikalini ya EPA,Richmond,Escrow,Meremeta,Gas na uchafu wa kila aina unaogusa Maisha ya kila siku ya Watanzania moja kwa moja?
Alinunua nyumba ya jamaa yangu,miaka hiyo manunuzi yalifanyika jioni,usiku watu walikuja kuchukua fedha,we kama umekuja juzi mjini waulize watu wanaomjua...
Wacha ungese wewe,unajua ni kiasi gani watu wangu wa karibu wamedhulika kutokana na vitendo vya huyu jamaa?,pambavuuuu.
ww akili yako km dodoki kabisa huna tofauti na NyakageniAcha wivu wa Kike wewe,mwache awaibie hao hao wezi wa mali za Umma na matajiri wenzake. Unataka kuniambia wizi au utapeli wake una directly impacts gani kwako na kwa Maisha ya Watanzania wengi kuliko hayo Majizi ya Serikalini ya EPA,Richmond,Escrow,Meremeta,Gas na uchafu wa kila aina unaogusa Maisha ya kila siku ya Watanzania moja kwa moja?
Alikawamtwa July 2013 akatoroka July 2014,yupo south Africa anakula bata.