Nunua Blackberry Playbook tablet, kwa vile utafanya kule kinachoitwa Blackberry Bridgena kutumia Bridge Browser kusurf net na BB kwenye massive 7" Screen, pia itakuwa rahisi kwenye suala la gharama. Hii ikiwa BB yako ina BB OS 5 kwenda mbele.
Option nyingine download app kwenye Blackberry App World inayoitwa Tether Bridge for Blackberry au app yoyote ambayo itakuruhu kufanya tethering na kuitumia simu yako kama modem. halafu fuata maelekezo. Tether Bridge ni bure kuijaribu, halafu inabidi utoe senti kidogo kama utaipenda.