INTERNET SPIDI IMESHUKA MNO HALOTEL

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Hawa halotel wamekuwa wakinipa huduma bora kwenye internet ila hii wiki mambo yamekua tofauti, Kuanzia juzi hadi sasa internet imekuwa ni slow mno mpaka kero.....Instagram siwezi kuitumia kabisa pamoja na mitandao mingine..


NI MIMI TU AU??????????
 
Vodacom haijawai niangusha hipo vizuri sana upande wa internet
Hongera mkuu. Mi vodacom sijawahi kuwaamini katika internet. Kuna wakati unakuta una data bundle ya kutosha na uko kwenye H+ safi kabisa ila hakuna page unaweza kufungua.
 
Vodacom hata wakinipa mb za bure huwa sithubutu kufungua data Hawa jamaa Ni ovyo sana
Hongera mkuu. Mi vodacom sijawahi kuwaamini katika internet. Kuna wakati unakuta una data bundle ya kutosha na uko kwenye H+ safi kabisa ila hakuna page unaweza kufungua.
 
Hongera mkuu. Mi vodacom sijawahi kuwaamini katika internet. Kuna wakati unakuta una data bundle ya kutosha na uko kwenye H+ safi kabisa ila hakuna page unaweza kufungua.
Hata airtel ipo chini Sana, nchi hii jamani tunaelekea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…