ndio mkuu nimeangalia vizuri,unajua huyu provider wetu tuna kwenda nae hivyo hivyo maana ukiangalia bei tunayo lipa hata nikipewa hiyo 12 kbps ni sawa tu.
Mimi mtihani mtihani internet speed yangu hapa http://www.ip-details.com/ Ni hutoa Anwani ya IP, IP, tafuta domain tafuta mwenyeji, kupata maelezo IP ....