Internet Speed Test

JuaKali

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
776
Reaction score
119
Internet speed test, router speed max 100Mbps kwa wifi pamoja na Ethernet, cha kushangaza Napata max 18Mbps kwenye Wifi na 38Mbps thru Ethernet Je hii ni kawaida? Note:internet provider kanihakikishia kupata si chini ya 30Mbps.
 

Attachments

  • Speed Test.png
    186.8 KB · Views: 143
Speedtest ina connection speed/bandwidth na sio card speed.
 
Internet speed test, router speed max 100Mbps kwa wifi pamoja na Ethernet, cha kushangaza Napata max 18Mbps kwenye Wifi na 38Mbps thru Ethernet Je hii ni kawaida? Note:internet provider kanihakikishia kupata si chini ya 30Mbps.
sawa kabisa. si unapata 38 naye alikwambia si chini 30???
usitegemee kabisa kupata hiyo 100, hiyo siyo speed ya internet aliyopewa. ni connection ya card/ethernet.
ni sawa na bomba lenye upana wa 100M diameter lakini maji yanayotoka hayana speed ya kujaza diameter yote. may be huwa nusu au robo ya diameter ya bomba
 
POle nafikiri sikueleweka vizuri shida yangu ni kutaka kujua kwa nini Napata 18Mbps kwenye WI-FI na 38 ninapoconnect kwa kutumia Ethernet cable?
 
POle nafikiri sikueleweka vizuri shida yangu ni kutaka kujua kwa nini Napata 18Mbps kwenye WI-FI na 38 ninapoconnect kwa kutumia Ethernet cable?
wifi ndio zilivyo. kuna mambo mengi yanaathiri speed yake na ni kawaida sana kupata nusu ya speed husika
more info
Question: How Fast Is a Wi-Fi Network?
Answer: The speed of a Wi-Fi wireless network connectiom depends on several factors. [h=3]Theoretical vs. Actual Network Speeds[/h] Like most kinds of computer networks, Wi-Fi supports varying levels of performance depending on which technology standards it supports. Each Wi-Fi standard is rated according to its maximum theoretical network bandwidth:

The performance of Wi-Fi networks practically never approaches these theoretical maximums. 802.11b networks, for example, generally operate no faster than about 50% of theoretical peak, around 5.5 Mbps. Likewise, 802.11a and 802.11g networks generally run no faster than 20 Mbps. And even though 802.11n rates at 300 Mbps compared to wired Fast Ethernet at 100 Mbps, the Ethernet connection can often outperform 802.11n Wi-Fi in real-world usage.

Wireless Network Speeds - How Fast Is a Wi-Fi Network?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…