Hujanielewa mkuu,kuna moja ninayo ni ya Airtel pia,ukinunua bundle la mwezi likitumika sana inaisha kama kawaida tu hata week inawezekana isitoboe,ndiyo maana nimeuliza,hii haiangalii matumizi mpaka tarehe uliyonunua? Maana hii nilinunua zamani kidogo