Interlocking Bricks

Joined
Jul 10, 2026
Posts
12
Reaction score
15
🏑 JENGA KWA TOFALI ZA INTERLOCKING – IMARA, ZA KISASA NA ZENYE GHARAMA NAFUU! 🏑

Tunauza na kujenga kwa kutumia Tofali za Interlocking zenye ubora wa hali ya juu.

πŸ’° Bei zetu
.
πŸ“Dar es Salaam – TSh 700/= kwa Tofali.
.
πŸ“ Mikoani – TSh 800/= kwa Tofali

βœ… Tunakuja kufyatulia site kwako, hivyo inapunguza gharama za usafirishaji.

Site iwe na MAJI tu.

Wasiliana nasi:πŸ“ž 0764 635 014
 

Attachments

  • Screenshot_20260714_083137_Instagram.jpg
    253.2 KB · Views: 8
  • wajenzibora_e05dd0af_1.webp
    178 KB · Views: 6
  • wajenzibora_e05dd0af_2.webp
    145.4 KB · Views: 8
  • wajenzibora_e05dd0af_3.jpg
    175.4 KB · Views: 7
Kwanza, Ningependa kujua size za hio brick
Pili naomba kujua katika ujenzi wake, tunapata ukuta wenye thickness gani?!
Tatu, ukuta wake wenyewe unakua ni load bearing? or not (in short naomba kujua strength ya ukuta wake)
 
Hizo sio interlocking hizo ni hydraform. Watu wengi huchanganya. Anyways, nitakutafuta mkuu nipate huo mjengo.
 
Hydraform Bricks ni Interlocking Bricks Mkuu.
.
Ni kama niseme nauza Magari nina Prado na Premio kisha uje useme hilo sio Gari ni Premio/Prado
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…