Kosa ambalo wengi hufanya ni kulazimisha ukweli kuwa uongo; kwa madai kuwa mzigo uliotuwa ni wa kuusahau na kuupotezea sababu hauko worth it.
Siyo kweli; Mazuri na mabayo yote ni ya kukumbuka maana ndiyo part of what 'defines' us... Kitu chochote kile ambacho umewahi beba hadi likawa 'Mzigo' ambao ukatamani kutua ama kufanikiwa kutua kabisa ni kuwa kuna siku kilistahili kubebwa na wewe, kuna siku kilikushawishi (pengine bila hata kushawishiwa) ukakibeba na ulifurahia kabisa... Haijalishi kuwa ulifurahia briefly, kwa mda mrefu or forever.
What matters ni kuwa huo mzigo in one way or another lazima utakuwa umekujenga, kukukomaza na maybe hata kukuongezea busara kuwa makini sana next time unabeba kitu kwa kuhofia kuwa zigo lisilo bebeka....
Sijui nimeeleweka
SnowBall? Hopefully umepata jibu...