FEBIANI BABUYA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 2,230
- 4,347
- Thread starter
-
- #421
Tutaangalia namna kiongoziMkuu tunashukuru ila ungewekahata vipande viwili vitatu hivi kufidia aisee, but kazi yako ni njema sana, muundo, mtindo, wahusika, matumizi ya lugha na mandhari vimekaa poa sana
Umetisha mtaalam...usitupe arosto zaidi mzee
Pamoja sanaUmetisha mtaalam...usitupe arosto zaidi mzee
Kwa hamu kubwaBila shaka u buheri wa afya mkuu FEBIANI BABUYA na kama sivyo basi Mwenyezi Mungu akutendee sawasawa na fadhili zake. Sisi wadau wako tunakusubiri hapa jukwaani
RespectBila shaka u buheri wa afya mkuu FEBIANI BABUYA na kama sivyo basi Mwenyezi Mungu akutendee sawasawa na fadhili zake. Sisi wadau wako tunakusubiri hapa jukwaani
Mapambano ya mtaa mkuuShukrani mwamba japo ulitususa sana upande huu
Naam! Kupambania tonge muhimu mkuu