Na mimi ninatatizo kama lako!wadau wa technology heshima kwenu.NINA PRINTER YA LEXMARK 2600,ILIISHA WINO NIKA RE-FILL LAKINI BAADA YA KUZIPACHIKA KATIKA PRINTER HAISOMI WINO NILIO UJAZA IT KEEPS SAYING 'your ink catrige is empty please replace'SWALI NI KWAMBA NIFANYAJE ISOME WINO WA KUJAZA?
Don ever think about re-fill a catrigdge utaiua printer sasa hivi mkuu i know kurefill ni pesa kidogo kuliko kununua mpya lakini pindi itakapoanza kusumbua gharama yake ya kutengeneza itakuwa maradufu kuliko kununua catridge mpya