Car4Sale Ingia hapa chagua Gari (Magari mazuri bei nzuri) wazee wa kulenga!

Mkuu kulenga ni kulinganisha aina ya gari na bei inayouzwa... Labda kwa sabbu umesema hauuzi za kulenga tu wacha tusubiri ila so far bei zako ni kama za siku zote tu nothing new hapa
Mleta Uzi labda hajui bei za magari tunavyouziana mtaani. Bei zake ziko juu kama za showroom used from Japan. Kwa bei ya kumvua mtu kibongobongo huwa imepoa sana kuliko bei hizi za mleta uzi
 
Mkuu wangu naomba nikushauri kitu,

Usijibizane na mtu ambae hayuko kibiashara zaidi ya kuku challenge! Biashara ni huria option ya mazungumzo ipo kwa anaehitaji hao wengine wasikuchoshe!
Sikatai bei hiyo unapata Nissan etr ila je imenyooka kama hiyo? kama unayo iliyonyooka kama hiyo njoo kwenye namba zangu au ilete mwenge ofisini uondoke na pesa yako
 
Gari ya kulenga maana yake nn???
 
Na sie walalahoi wa milioni mbili ama tatu nasi ni binadamu usitusahau tunapenda kuendesha gari tukiwa tumekaa
 
Nitumie hizo starlet nizione 0743941142
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…