Car4Sale Ingia hapa chagua Gari (Magari mazuri bei nzuri) wazee wa kulenga!

Mkuu kulenga ni kulinganisha aina ya gari na bei inayouzwa... Labda kwa sabbu umesema hauuzi za kulenga tu wacha tusubiri ila so far bei zako ni kama za siku zote tu nothing new hapa
Mleta Uzi labda hajui bei za magari tunavyouziana mtaani. Bei zake ziko juu kama za showroom used from Japan. Kwa bei ya kumvua mtu kibongobongo huwa imepoa sana kuliko bei hizi za mleta uzi
 
Mkuu wangu naomba nikushauri kitu,

Usijibizane na mtu ambae hayuko kibiashara zaidi ya kuku challenge! Biashara ni huria option ya mazungumzo ipo kwa anaehitaji hao wengine wasikuchoshe!
Sikatai bei hiyo unapata Nissan etr ila je imenyooka kama hiyo? kama unayo iliyonyooka kama hiyo njoo kwenye namba zangu au ilete mwenge ofisini uondoke na pesa yako
 
Gari ya kulenga maana yake nn???
Uzi haujaanzishwa kwa madhumuni ya magari hayo tu! jiongezi tu mkuu,
Pia JF kumejaa watu aina mbali mbali na wa vipato tofaut, kama kwako gari ya 3M ni kulenga, mwingine kwake 30M ni yakulenga,
Mwingine budget yake ya gari ni 200M akiona gari aina ile imetangazwa 150M na vigezo anavyohitaji basi ni ya kulenga kwake
 
Na sie walalahoi wa milioni mbili ama tatu nasi ni binadamu usitusahau tunapenda kuendesha gari tukiwa tumekaa
 
Haya yapo

Starlet CAH..............4.5m
starlet DD..............5.5m
Ist DFM ..................8.8m
Ist DFH................8m fixed
Ist DDR ...............8.2m
Ist DN.................9.5m
Vitznewmodel DM . 7.8m
Vitz old .CVB....... 5.5m
Vitz old. Cx........5m
Harrier old DMT.... 15.8m
Markx. DQH........11.5m
Crowm athlete DF..... 11.5m
Crown athlete DLS...... 12.5m


Haya magari yapo, picha nichek kwa namba yangu ya 0713415537
Nitumie hizo starlet nizione 0743941142
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom