Car4Sale Ingia hapa chagua Gari (Magari mazuri bei nzuri) wazee wa kulenga!

Tunzo Qualitycars

Senior Member
Joined
Sep 3, 2019
Messages
118
Points
225

Tunzo Qualitycars

Senior Member
Joined Sep 3, 2019
118 225
Anazungua hizi zilizozagaa kina premio, allion, ist na ndugu wa aina hiyo... Jiongeze
Uzi haujaanzishwa kwa madhumuni ya magari hayo tu! jiongezi tu mkuu,
Pia JF kumejaa watu aina mbali mbali na wa vipato tofaut, kama kwako gari ya 3M ni kulenga, mwingine kwake 30M ni yakulenga,
Mwingine budget yake ya gari ni 200M akiona gari aina ile imetangazwa 150M na vigezo anavyohitaji basi ni ya kulenga kwake
 
Mzee Wa Kale Kabisa

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2018
Messages
733
Points
1,000

Mzee Wa Kale Kabisa

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2018
733 1,000

Mkuu kulenga ni kulinganisha aina ya gari na bei inayouzwa... Labda kwa sabbu umesema hauuzi za kulenga tu wacha tusubiri ila so far bei zako ni kama za siku zote tu nothing new hapa
 
Mkuu tusimkadirie mteja kulenga kwako, pia sio kua gari ninazopost hapa ndio ambazo ninazo tu, zipo nyingi, wewe unahitaji gari gani,
Gari yoyote namba D mfano kuagiza kwake ni 19M
ukiuza kwa 13M umeshalenga, au unataka hiyo iuzwe 5M
Je ya 5M tulengeshe kwa 100k?
 
Infopaedia

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Messages
1,072
Points
2,000

Infopaedia

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2011
1,072 2,000
NISSAN XTRAIL FOR SALE

Vehicle information

Make: NISSAN
Model: Xtrail
Year: 2004
Mileage: 85,000
Engine size: 1990
Colour: Gray
Fuel: Petrol
Seat: Leather seats
Forg light
Transmission: Automatic
Location:Dar es salaam
Rimsport installed
Auto revers camera
Full documents
Price:Milion 12.5

AC | PS | ABS | AUDIO | RIVERS CAMER | AIRBAGS | FULL OPTION |

RE-MARKS:
Gari iko Kwenye ubora ina muonekano na haijawahi kurudiwa rangi.

View attachment 1204395View attachment 1204396View attachment 1204398View attachment 1204399View attachment 1204400View attachment 1204401
Jifikirie hapa, 7M nikutafute mkuu.
 
Mzee Wa Kale Kabisa

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2018
Messages
733
Points
1,000

Mzee Wa Kale Kabisa

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2018
733 1,000
Mkuu tusimkadirie mteja kulenga kwako, pia sio kua gari ninazopost hapa ndio ambazo ninazo tu, zipo nyingi, wewe unahitaji gari gani,
Gari yoyote namba D mfano kuagiza kwake ni 19M
ukiuza kwa 13M umeshalenga, au unataka hiyo iuzwe 5M
Je ya 5M tulengeshe kwa 100k?
Gari inaweza kuwa namba D afu kwa hiyo bei bado unaweza ukawa umepigwa... Inategemea na hali ya gari mzee usikariri namba. Zipo namba B zimepaki tu au ruti masaki ruti m city na ikawa imenyooka kuliko hizo D
 
Forum statistics

Threads 1,343,476
Members 515,067
Posts 32,785,910
Top