Ningezimia kwa mshtuko
Sasa si uwe na hizo nguvu za kukimbia kuna muda unakuwa kama umepagawa hivi unashika kichwa tuuMbio break chalinze mzee
Si sawa nizimie mnizike ?ningezinduka haraka sanaTungekuzika kabisa
jamaniiiii!Ungegundua unaingizwa kaburini??