I am trying to imagine ingekuwa vp kama pasingekuwepo na hii kitu manake inaumiza saana vichwa vya watu! I am imagine kama pangekuwa na another means ya kupata watoto! interaction kati ya mwanaume na mwanamke ingekuwaje? hivi wadada wangekuwa wanajeremba kweli? pangekuwa na masista duuh na mabrazamen? mamen wangekuwaje?
Si wanawake si wanaume kila siku humu MMU watu wanaomba ushauri, wengine wanalalamika wametendewa ndivyo sivyo na wapenzi wao lakini kisa ni hii mambo hii! Je isingekuwepo tungekuwa na hata hizi social networking kweli!?
hii katika hali ya kawaida unaweza ukaji exempt katika hii mambo?
tujadili kistaarabu hii matusi sitaki
maisha hivi yangekuwa na raha gani zaidi?

Kungekuwa hakuna haja ya kuwa na kiumbe chenye jinsia ya kike au kiume. Reproduction ingekuwa through 'binary fission' (Prokaryotic fission)/ au kwa lugha rahisi 'asexual reproduction' badala ya kupitia kwenye 'sexual intercourse'. Nafikiri pia dunia ungeboa sana maana kungekuwa hakuna kupeana furaha za ziada kati ya binadamu. Binary fission ingeruhusu kila mtu azae anapojisikia bila kuungana kimwili na kiumbe mwenzake mwenye jinsia tofauti na yeye.
Tungekosa wanawake waombolezaji, waimbaji, wanaotupikia vizuri, wanaotulea na kutukarimu, wanaotubembeleza na kutupa raha, wanaotujalia, kutupikia na kutufulia nguo, wanaotuuguza, wanaotushauri, wenye maumbo, sura na miondoko inayotupa raha nk
Kwa kifupi, dunia ingekuwa mbaya sana, na wala siitamani dunia bila mwanamke, lol! Mama HorsePower J ningempata wapi? Acha hii maneno bwana!!!
hahahahahahahahHa ha ha.. Nadhani tungekuwa kama kuku vile.. Jogoo likiona kuku jike ambalo lipo kwenye joto linafukuzia ili limwekee mbegu.. In da process anatokea Jogoo mwingine mwenye nguvu ananyang'anya mzigo na kupanda yeye.. Ingekuwa hivyo sijui kama Mkuu Bujibuji na unyonge wake angepata mzigo.. Ha ha ha...