1.inakuhusu sana.hainihusu ila bora kupiga kimya
ningemweleza kaka ukweli kama alivyosema Tall,ni vema kaka ajue kuwa yuko na mtu wa namna gani aamue mwenyewe....
chooni?kufanyaa nini tenaa afro...
Alishakueleleza ukweli, hana kosa!
Muache dada wawatu aolewe
Katafute wako
NATA,si kwambaa nataka kuaribu mipango yao,najua nilimpaa vitu vya hajabu na tulikuwa tunaendelea kuwasiliana na kunipa ma promise kwambaa nikijaa tuna baruzaa tena na tena,anyway mi hadi leo nimekaa kimya na nimejaribu kumkwepaa na kurudi zangu mkoani?ilaa siku nikienda kumtembelea kakaa na kukuta hayupo,ndani kabaki shemu peke yake ndo baalaa.
Kumbe unataka kuendeleaaaaa!NATA,si kwambaa nataka kuaribu mipango yao,najua nilimpaa vitu vya hajabu na tulikuwa tunaendelea kuwasiliana na kunipa ma promise kwambaa nikijaa tuna baruzaa tena na tena,anyway mi hadi leo nimekaa kimya na nimejaribu kumkwepaa na kurudi zangu mkoani?ilaa siku nikienda kumtembelea kakaa na kukuta hayupo,ndani kabaki shemu peke yake ndo baalaa.