Kwa baadhi ya vyuo huchukua watu waliyo soma HGE,EGM,PCB,CBG,EGM n.k kwa HKL pia inawezekana wao wanachokiangalia ni BAM ya advance au Basic Maths ya O-level.
Waliyosoma HGE,HKL,CBG na PCB wanapata sana shida pale inapofika kusoma course za Hesabu(pure maths) lakin kwa sababu ni chuoni ufaulu bila shidah yyte na SUP chache.
Kwa kumalizia BIT hiyo ni science (social science kwa mbali) na siyo Arts.