Infinix note 3 bei cheeee

Simu nzuri sana mimi naitumia ni mwezi sasa sijaona any weakness . Battery yake ndo mpango mzima screen HD na zipo za 4g na 3g
 
Simu nzuri sana,ila naona hilo ni toleo jipya lenye neno infinix,juu ya screen,mm ninayo toleo la mwanzo halikuwa na jina infinix kwa upande wa mbele,ni nyuma pekee ndio kuna infinix.
Naona hata bei yake ipo kitonga,au ndio copy?
Any way kila la heri.

16 gb
fingerprint
price=310 000/= tshz
mawasiliano 0625514257


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…