INF (intermediate-range nuclear force) treaty wa mwaka 1987 Nini hatma yake?

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,251
Reaction score
2,131
Habari za usiku Wana JF. Kwanza kabisa sikutaka kuandika chochote kwa siku ya leo ila imenibidi kwa lengo kupashana habari.

Ule mkataba wa kuzuia uzalishaji nuclear(short range-middle range) uliosainiwa na marais wawili Rais wa Marekani Ronald Reagan na Rais wa Soviet Mikhail Gorbachev mwaka 1987 umevunjika rasmi mwaka huu mara baada ya Rais wa Marekani Sir Donald Trump kuahidi kuwa atarutubisha na kuendeleza uzalishaji nuclear weapons.
 
Kama vipi na sie tuanzeni mchakato tu
Nalog off
 
Sasa yani wewe ulifikiri kwamba ni kweli marekani anaweza kusitisha uzalishaji wake wa siraha za nyuklia? Si alikuwa anawazuga tu hao watu wa soviet!
 
Marekani na Urusi bila silaha za nyuklia haiwezekani vivyo hivyo Dunia bila silaha za nyuklia haitawezekana and Vice-versa. (Samahani nimechanganya lugha)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…