Incubator inauzwa

Puna

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
2,770
Reaction score
4,857
Wale wajasiliamali wa kuku incubator inauzwa Tsh 1700000(milioni moja na laki Saba),Inatumia solar power na Gesi itakupunguzia stress za umeme wa Tanesco.Bei hiyo ni pamoja na Kioo watt 190,betri,charger control,invetor na Mitungi miwili ya gesi(empty).Imetumika mwezi mmoja tu.
 
Tangazo zuri lakini halijajitosheleza:
1. Inahifadhi/totoa mayai mangapi kwa pamoja?
2. Upo/Ipo wapi? (Location)
3. Ambatanisha picha.
 
Tangazo zuri lakini halijajitosheleza:
1. Inahifadhi/totoa mayai mangapi kwa pamoja?
2. Upo/Ipo wapi? (Location)
3. Ambatanisha picha.
Mkuu samahani ni mayai 352,Ipo Kisarawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…