Don njinji
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 688
- 1,555
Ni ya mayai 500
Bei ni sh 1.2
Imetumika mwezi mmoja tu.
0620250321..mawasiliano
Bei ni sh 1.2
Imetumika mwezi mmoja tu.
0620250321..mawasiliano
100% kutegemea na mayai unayoweka...Kama nimeelewa swali.Ufanisi wake ni asilimia ngapi?
Nina shida ya pesa chief,nipo tabata.Kwanini unauza na upo wapi?
Nina shida ya pesa.Sababu za kuuza?
Bila Shaka mkuu yanatoka vizur tu.samahani,nataka kufahamu namna ya ufanyaji kazi wa hizi machine,hivi kama idadi ya mayai kwa machine haijafikiwa let say machine uwezo wake ni mayai 500 na wewe ukaweka mayai 100,vipi yanaweza kuanguliwa bila tatizo?
Nashukuru mkuu...Mkuu,nina laki 8 cash,kama itafaa karibu PM