Inkoskaz anoother episode maana ya Dr Uli inaelekea kuchuja na ya wabunge wala rushwa inaelekea Spika alishawakataza watu kuiongelea na ya Jairo ishamalizika hakuna new episode sasa inakuja hii ya mabilioni UswissUnawinda tembo kwa risasi za ndege...nchi hii haishi sinema
Hizi Episodes ni nyingi kama zile za mkuu wa kaya wakati wakati wa uchaguzi...halfu hazitimii wala hazina mfuatiliaji wa kuzihitimisha,zinabaki hewaniInkoskaz anoother episode maana ya Dr Uli inaelekea kuchuja na ya wabunge wala rushwa inaelekea Spika alishawakataza watu kuiongelea na ya Jairo ishamalizika hakuna new episode sasa inakuja hii ya mabilioni Uswiss
Mchezaji maarufu hapa sijui atakuwa nani
Watanzania kwa matukio ni balaa
Hizi Episodes ni nyingi kama zile za mkuu wa kaya wakati wakati wa uchaguzi...halfu hazitimii wala hazina mfuatiliaji wa kuzihitimisha,zinabaki hewani
Za kwetu zote trailer au part one...part two never comeYaani hakuna hata moja ina mwisho wake kuonyesha kuwa kuna lililofanyika au hatua zimechukuliwa
Tuanabakia kuja kuzikumbuka tuu ila movie iwe na mwisho ndio inanoga za hapa kwetu ni balaa