Habari zenu. Nimefanya mapenz katika siku za hatari ila jamaa alimwaga nje sasa ni wiki imepita naskia tumbo linauma na chuchu zinauma ingawa matiti hayajavimba.
Ni ngumu sana kwa wanandoa kutumia condom, kufanya mapenzi siku salama ndio njia pekee yenye Tija katika kupanga uzazi. Hii ya kumwaga nje ni mambo ya modernization tu ambayo pia not applicable kwetu tulio wengi
Habari zenu. Nimefanya mapenz katika siku za hatari ila jamaa alimwaga nje sasa ni wiki imepita naskia tumbo linauma na chuchu zinauma ingawa matiti hayajavimba. Je inaweza ikawa ni mimba?