M maharco Senior Member Joined Nov 28, 2015 Posts 116 Reaction score 35 Oct 24, 2016 #1 Hivi mpaka sasa kuna wanafunzi wa Chuo chochote ambao wame sign pesa ya kujikimu na ile ya books and stationary baada ya kufungua Chuo kwa sasa ?????
Hivi mpaka sasa kuna wanafunzi wa Chuo chochote ambao wame sign pesa ya kujikimu na ile ya books and stationary baada ya kufungua Chuo kwa sasa ?????
Ochumeraa JF-Expert Member Joined May 18, 2015 Posts 4,507 Reaction score 5,742 Oct 24, 2016 #2 St Joseph main campus ya dar walishasain muda mrefu tu
Vangigula JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 863 Reaction score 2,782 Oct 24, 2016 #3 Nadhani ni Continuing Students. Anyway, ujumbe umefika
msuya4real Member Joined Oct 14, 2016 Posts 76 Reaction score 27 Oct 24, 2016 #4 Wale was Sauti Mtwara karibun Sana Mwaka wa Kwanza
Y yumoki JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 284 Reaction score 133 Oct 24, 2016 #5 Tumesain leo University of Dar es salaam
M maharco Senior Member Joined Nov 28, 2015 Posts 116 Reaction score 35 Oct 25, 2016 Thread starter #6 OK
M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 14,205 Reaction score 19,142 Oct 25, 2016 #7 Na mwecau vipi he mmeshasign boom kwa continuing students?
N Nkrumah Lumumba Jr New Member Joined Oct 26, 2016 Posts 1 Reaction score 0 Nov 7, 2016 #8 Mpaka linakaribia kuisha....