INAUZWA Inauzwa

Mm nina Gari-moshi nlikua nahitaji redio, alaf kuna ndugu yangu ana Bugatti nae alikua anahitaji redio....ngoja nkutafute mkuu
 
Maelezo zaidi njoo pm
Aah chief hebu acha hizo.

Ungeweka aina, uwezo wake, unapopatikana, gharama, picha za radio na mawasiliano yako mbona maswali, dhihaka na wewe kutaka ufuatwe pm kusingekuepo.
 
Aah chief hebu acha hizo.

Ungeweka aina, uwezo wake, unapopatikana, gharama, picha za radio na mawasiliano yako mbona maswali, dhihaka na wewe kutaka ufuatwe pm kusingekuepo.
Sawa boss
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…