Apartment inauzwa Kariakoo, Dar Es Salaam kwa bei ya Milioni 115

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,139
Reaction score
366
Watu wa Kariakoo na wawekezaji mpo?

Apartment safi inauzwa KARIAKOO MJINI!

Location: Kariakoo - katikati ya biashara, karibu na soko, usafiri masaa 24
Details:
✓ Bedrooms 3 - kubwa na zenye nafasi
✓ Ipo Floor ya 5 - hewa safi na muonekano mzuri
✓ Inafaa kwa kuishi na kwa kupangisha - wateja hawakosekani Kariakoo!
✓ Hati safi, umeme na maji vipo

BEI: Milioni 110 tu! - Bei ya kuongea kidogo

Kariakoo hakuna kupoteza, nyumba inapangika siku hiyo!

Wahi sasa - nyumba moja tu!

PIGA / WHATSAPP: 0784 225 000
Kitomai Properties - Tunakusogezea Dili

Your browser is not able to display this video.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…