INAUZWA Hp Deskjet printer 2135

mr_politician

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
631
Reaction score
453
Printer ni me itumia mwaka mmoja tuu kwa matumizi yangu madg madg ya kuprint assignments zangu chuoni,

nilinunua 150k, Ila Mimi nina iuza 90 tuu,

ninakupa na boksi lake kabisa.

popote ulipo nitaituma tuta changia ana nusu nusu kwenye nauli.

Printer ipo mkoa wa MBEYA

mawasiliani 0743413782

1. ina lisiti yake nlio nunulia dukani
2. nina kupa cartridge mbili za black, moja mpya ni Genuine ya Hp, na nyingine ni kama ukitaka kuchoma wino utaitumia hio. Cartridge ya rangi sina.
3. nakupa power cables zake 2
4. printer ina scan na kuprint A4
5. Ipo kwenye condition nzuri kabisa, haina tatizo ata moja, na ina print kazi clear,
.








hii picha apa chini ni cku nilipo toka inunu, unaweza ona detail za tarehee apo kwenye screenshoots



na hii apa ni Lisiti yake

 
Poa.
Ila sahihisha hiyo cartilage, inamaanisha kitu tofauti kabisa. Tumia neno cartridge (ink cartridge).
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…