Inauzwa gari ya heshima

Makamee

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
2,029
Reaction score
1,201
bei ni tsh 25 milion mazungumzo yapo!
 

Attachments

  • IMG-3.jpg
    57.7 KB · Views: 801
  • IMG1.jpg
    54.2 KB · Views: 665
  • IMG2.jpg
    80.7 KB · Views: 665
Huyu hana uelewa wa magari, toka lini Hiyo ikawa gari ya heshima?

Tangazo lenyewe halieleweki.

Unatakiwa uelezee mileage, 4wd, accessories etc sio unatangaza vitu nusunusu
 
Huyu hana uelewa wa magari, toka lini Hiyo ikawa gari ya heshima?

Tangazo lenyewe halieleweki.

Unatakiwa uelezee mileage, 4wd, accessories etc sio unatangaza vitu nusunusu

Kanunue bajaj gari hiyo huiwezi,
 
We Makamee Sema Harrier.
Gari ya Heshima ndio nini
Sijui kama mwenyewe sio Muhindi,maana imepambwa mpaka bei na yenywewe imepanda

Wanyumbani na wewe usiwe wapenda vya mteremko kama watanganyika,ngoja tuwakamate hawa wanyamwezi nakula mpaka 23 hapo.
 
Bei ghali sana 18 unaimport from Japan na makila kitu unless otherwise unambie 0 km
 
Hiyo gari ukiiagiza mwenyewe mpaka 16 unapata ikiwa inelipiwa kila kitu.
Na kui-PIMP hivyo labda 2mil.


Kama kweli unaiuza basi jaribu kufikiri na bei pia. Kwa wajuzi wa magari hapo hutowapata
 
Ya kawaida sana labda million 9 utapata mtu ila kwa bei hiyo mwambie aendelee kutumia ama auze spare hadi iishe ama apeleke kwa wakataji wa magari.
 
ilisajiliwa zanzibar lini? manake hiyo rangi ya goldstar ishaanza kuchuja,
 
Wanyumbani na wewe usiwe wapenda vya mteremko kama watanganyika,ngoja tuwakamate hawa wanyamwezi nakula mpaka 23 hapo.

Wanyamwezi watakukamata ww, labda utamkamata kutokana wazanzibar mkiongea mnakuaga mmelegeeeeeeea! Icho ndicho kitakacho fanya mnyamwezi umkamate lkn co ilo gar la ml12 eti ukamkamkamate mnyamwez nan kasema? Namalizia kusema I love u
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…