Ndoa ya kikatoliki.
Mpaka kifo kiwatenganishe....Mkuu asprin umenivunja sana mbavu hapa. hahahahah inashida gani hiyo bidhaa hahaha. No divorce hahahaha
Ndoa ya kikatoliki.
PweintiSio siri,hizi gari muonekano wake na Bei yake haviendani kabisaa.Ni miongoni mwa gari zisiro na mvuto kabisaa kwangu.Naona sawa na Nadia tu.
Uliza CC yake ndio uone,halafu nzito kweli ukiwa una drive.Ikiharibika kifaa lazima ukijambie kwanza ndio iwe sawa