Hahahaaaa! Namimina wine expensive niliyoiweka kwa special ocassions ambapo impossible zitahapen!!!! LOL! Hapo wachukua glasi wawapa kila mmoja glai yake huku wewe hunywi!!!! (Watajambajeeeee! Lazima wahisi umewawekea SUMU si bure!!! Kila tone la wine wakimeza wanalisikia hadi kwenye OBLONGATA !!!! Hapo wanawaza sijui hiyo sumu ni ya kufa usingizini, au kukwanguka utumbo, au kuunguza maini!!!!!!!!!! Kumbe ni jst a glass of wine!:lol: Smtimes adhabu ndogo zinaadhibu kuliko kubwa