INAUMA SANA

zombieboy

Member
Joined
Jul 1, 2019
Posts
54
Reaction score
73
kuna dem nna kama week 3 namfkuzia ,uwa namwandkia sms muda mwngne hajibu muda mwngne ananipa hope ananiambia nivute subira . nkasema poa wacha niendelee kuvuta subira na hewa.asa leo Asubuhi nmeamka nakutana na sms iliyonkata knoma.aliandka "mambo,G kuna ktu ntaka nkwambie asa ww unasema unanipenda na huna ata ela ya kunipeleka lodge ,nakushauri tafuta ela watajileta wazur zaid yangu mm"

zombieboy cjui nijipige kiberiti au ntafute zombie wa kike.
 
Dah! hivi Lissu amerudi?je akirudi ata wataja wabaya wake ? Vipi yupo wapi dereva wake? atagombea uraisi?
 
Ukijipiga kiberiti kuna mawili
-Kuungua ukaokolewa ukapona na kubaki na majeraha
-Kufa kabisa
Asa kwanini uchukue risk ya kufa ama kupona akati mazombie ya kike yamezagaa?

Binafsi nakushauri utafute zombie wa kike
 
Dah! hivi Lissu amerudi?je akirudi ata wataja wabaya wake ? Vipi yupo wapi dereva wake? atagombea uraisi?
chemistry ni tawi la sayansi ambalo sana sana cyo yale matawi ya miti
 
Ukijipiga kiberiti kuna mawili
-Kuungua ukaokolewa ukapona na kubaki na majeraha
-Kufa kabisa
Asa kwanini uchukue risk ya kufa ama kupona akati mazombie ya kike yamezagaa?

Binafsi nakushauri utafute zombie wa kike
kujipiga kiberiti cyo kujichoma moto hahaaa misemo ishabadilika vijana tunaharbu maana ya maneno kila kukicha
 
Reactions: Ccc
Pole sana dogo, sasa kama huna hata pesa ya Lodge, huyu shem ungeenda kumgegeda kwenye mapagala (majumba mabovu) au kichakani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…