Ukiona Uhusiano uliopo hauendi vile
unavyotamani uende waza upya,ukiona kila siku
ni wewe tu unayeumia na kuumizwa,na
anayekuumiza hajali japo ni mwepesi wa kulia
michozi ndoo nzima pindi ukimwambia unataka
kumuacha,tafakari sana!
Na ikifikia kipindi umeona its enough,na
unataka Kumove On,usiruhusu kitu chochote
kukurudisha nyuma,usiruhusu Feeling zako
mwenyewe kukulet down,usiruhusu marafiki
wasumbue decision yako,wala usimruhusu EX
kukuhadaa kwa maneno matamu ili
urudi..Funga Vioo,weka tinted kali!
Leo mvua imenyesha utaona EX anatuma
meseji'''Vipi na huko mvua imenyesha,nasikia
baridi kweli'?We mwambie Mimi sio mamlaka
ya hali ya hewa,kama unasikia baridi Washa
Heater...Hizi ni meseji tu za uchokozi ili apate
attention yako,na ukimruhusu atauliza mambo
kadha wa kadha,mara hujanimiss na hii
baridi,mara I wish you were here....atakutoa
kwenye concentration yako as u progress to
heal your wounds!
Usikubali kuwa mtumwa wa Uhusiano ambao
wewe unapata 20% na yeye 80% halafu
unasema 'Iam in a relatinship'..my friend Ur in
Prison sema tu Mapenzi hayana magwanda ya
Orange kama wafungwa wa Keko!Move on,your
better Man/Woman is waiting for you we
umekazana na hilo nungayembe..Always move
forward!
SORRY FOR THAT BUT INABIDI NI WE MKWEL SASA NAZANI TUMEFIKA KIKOMO INATOSHA SASA......
#‎Ukiona_ujaelewa_jua_haikusu_inaemusu_kashaelewa_somo