INASIKITISHAA

Wametoa onyo kuja zanzibar sasa sijui watanzania tumejipangaje kuwakabili
 
Waislamu wote tunalaani na kupinga yote yanayofanywa na vikundi vyote vya kigaidi ikiwemo alshabaab kwani sio mafundisho ya dini hii bali ni tamaa zao na chuki zinazopandikizwa na wachache dhidi ya uislamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…