mustakabali huo ni kati ya nani na nani? Au ni baada ya matume yao kuandikia ripoti baa ndo wanataka kutubu kuwa walinzi wetu tunaowalipa kwa jasho letu walifanya makosa ya kulipua mabomu na kuua raia wasio na hatia?.
Wasikimbilie kutaka kusamehewa bila kutubu makosa yao hadharani.
Na matendo ya hayati Mandela yasitumike ndivyo sivyo ili kujustify dhuluma na uonevu wao kwa raia wasio na hatia kama mwenyekiti wao anavyorai kwenye majukwaa ya kuwa tumuige hayati Mandela!
Waone aibu ya kutaka kututawala badala ya kutuongoza!
Anyway pole kwa majibu ya mzaha uliyopata mkuu kwenye ishu ya maana kama hii. Hii nchi hakuna jambo limewahi kusimamiwa kwa uzuri kabisa hadi mwisho hata liwe la maana namna gani litapotea tu njiani kama pepo za monsoon; Leo nani anazungumza ishu ya kinana akati ilikua hot juzi juzi tu hadi watu kupanga kufanya maandamo