Type JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 203 Reaction score 23 Aug 3, 2014 #1 Nimeoa kwa ndoa kabisa lkn kwa kibur cha huyu mwanamke Mm nahisi nimeshindwa Sasa sasa sasa natafuta mwanamke mwingine nitamwoa huyu nimechoka Ile tamu imegeuka shubirii Nakunywa maji ya moto Kwangu mm ni changamotoo
Nimeoa kwa ndoa kabisa lkn kwa kibur cha huyu mwanamke Mm nahisi nimeshindwa Sasa sasa sasa natafuta mwanamke mwingine nitamwoa huyu nimechoka Ile tamu imegeuka shubirii Nakunywa maji ya moto Kwangu mm ni changamotoo
Aurora JF-Expert Member Joined May 25, 2014 Posts 7,308 Reaction score 5,276 Aug 3, 2014 #2 vumilia si uliapa kifo tu ndicho kitakacho watenganisha
Type JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 203 Reaction score 23 Aug 3, 2014 Thread starter #3 lin said: vumilia si uliapa kifo tu ndicho kitakacho watenganisha Click to expand... Siwez siwez enough
lin said: vumilia si uliapa kifo tu ndicho kitakacho watenganisha Click to expand... Siwez siwez enough
mutant gene JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 876 Reaction score 326 Aug 3, 2014 #4 usiwe na wasiwasi utampata mwngine humu....halafu wadada wa humu wanapenda sana waume za watu.
Obugwa Izoba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2013 Posts 10,487 Reaction score 11,711 Aug 3, 2014 #5 kuwa makin usijejilaumu ukaoa mmoja baada ya mwngne maana tabia za hawa wa siku hizi ni kama wanafanana
kuwa makin usijejilaumu ukaoa mmoja baada ya mwngne maana tabia za hawa wa siku hizi ni kama wanafanana
xfactor JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 1,511 Reaction score 1,290 Aug 3, 2014 #6 Mkuu unaimba shairi au yamekukuta kweli? Maana kama una rap hivi,naona vina hapo
Type JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 203 Reaction score 23 Aug 3, 2014 Thread starter #7 xfactor said: Mkuu unaimba shairi au yamekukuta kweli? Maana kama una rap hivi,naona vina hapo Click to expand... Bwana nisha mwambia achukue kila kitu anachoweza aniachie milango na madirisha funguo aiyache kwa jirani tuu Nitaikuta
xfactor said: Mkuu unaimba shairi au yamekukuta kweli? Maana kama una rap hivi,naona vina hapo Click to expand... Bwana nisha mwambia achukue kila kitu anachoweza aniachie milango na madirisha funguo aiyache kwa jirani tuu Nitaikuta