B Bahati yangu Member Joined Sep 30, 2013 Posts 30 Reaction score 7 Nov 18, 2013 #1 Inapotokea umemfumania mume/mpenzi/ usimsemeshe wala kumuuliza lolote kuhusu jambo alilofanya.Je huko ni kumsaidia ajirekebishe?
Inapotokea umemfumania mume/mpenzi/ usimsemeshe wala kumuuliza lolote kuhusu jambo alilofanya.Je huko ni kumsaidia ajirekebishe?
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,363 Nov 18, 2013 #2 Ni adhabu tosha!! Ataondoka mwenyewe!
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,762 Reaction score 14,005 Nov 18, 2013 #3 hiyo ni psychological torture lakini ni wachache sana wanaoweza. maana hata wewe unaekaa kimya vilevile inaku affect
hiyo ni psychological torture lakini ni wachache sana wanaoweza. maana hata wewe unaekaa kimya vilevile inaku affect
Daud omar JF-Expert Member Joined Apr 4, 2011 Posts 2,458 Reaction score 986 Nov 18, 2013 #4 Hiyo ni fimbo isiyo chapa, mumpe vidonge vya alale mbele akasimulie kwa ndugu jamaa na marafiki kwamba yulu mutu!!!..
Hiyo ni fimbo isiyo chapa, mumpe vidonge vya alale mbele akasimulie kwa ndugu jamaa na marafiki kwamba yulu mutu!!!..
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,365 Reaction score 108,519 Nov 18, 2013 #5 Kwa hiyo ina maana una mpango wa kufanya fumanizi ama? Maana naona waandika habari za fumanizi utadhani ni matukio ambayo watu inawapasa wawe wanayatarajia kirahisi tu na kujitayarisha...
Kwa hiyo ina maana una mpango wa kufanya fumanizi ama? Maana naona waandika habari za fumanizi utadhani ni matukio ambayo watu inawapasa wawe wanayatarajia kirahisi tu na kujitayarisha...
Ennie JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 7,137 Reaction score 4,138 Nov 18, 2013 #6 Munkari said: Ni adhabu tosha!! Ataondoka mwenyewe! Click to expand... Vipi ukikutana na kauzu naye akaipotezea kama hakuna kilichotokea?
Munkari said: Ni adhabu tosha!! Ataondoka mwenyewe! Click to expand... Vipi ukikutana na kauzu naye akaipotezea kama hakuna kilichotokea?
Chisamba JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 1,521 Reaction score 788 Nov 18, 2013 #7 sio haaumsaidii bali wamweka ajiulize maswali mengi ni vema ukimwambia mana anaweza kunywa sumu
Mashaxizo JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 6,707 Reaction score 3,355 Nov 18, 2013 #8 Ennie said: Vipi ukikutana na kauzu naye akaipotezea kama hakuna kilichotokea? Click to expand... Apo chacha! Yale yale "ukisusa wenzio wala!"
Ennie said: Vipi ukikutana na kauzu naye akaipotezea kama hakuna kilichotokea? Click to expand... Apo chacha! Yale yale "ukisusa wenzio wala!"