Inakuaje mwanamke ukishapata mwanaume unajigeuza yatima!??

Mimi mwanamke ukishaanza kuniombaomba pesa mara kwa mara, naingia najua namna ya kukuhonga.
Nakuwa natoa pesa kiakili. Wakati mwingine naweza sema sina hata kama zipo.

Tofauti na yule asiyeomba pesa, namhonga roughly. Na siku akiniomba najua anaihitaji kweli nampatia tena zaidi kama zipo.

Hivyo, naona demu anayepiga mizinga mwanzoni anakuwa anakupa warning ili ujue yeye ni wa aina gani
 
Asilimia kubwa ya wanawake sasa hivi ni kama vile wamebeba mabeseni ya matatizo yao ya zamani,sasa na yajao,sasa ukijichanganya kumtongoza anakutwisha beseni ikiwa hata papuchi hajakupa na ndio hapo tunapobadilisha gia angani halafu wanaanza kulalamika hawana bahati.

Hizi si nyakati zile jamani tupambane na hali zetu.
 
Jinias babu.. nipo namba nne saiv
 
Back
Top Bottom