Kutokwa na harufu mbaya ukeni ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi duniani, hususani wakati wa tendo la ndoa. Kutokwa na harufu mbaya ukeni kwa kiasi kikubwa husababishwa na fangasi wa candida, japo sio kila mara ndio maana kuna umuhimu wa kutafuta chanzo cha tatizo la kunuka uke. Kutoa...