rich73 Member Joined Jun 21, 2014 Posts 20 Reaction score 2 Jun 20, 2015 #1 Inahitajika suzuki carry model kuanzia mwaka 99 na kuendelea, iwe katika hali nzuri. Bajeti isizidi 5m, nipo morogoro. nicheki pm kama unayo.
Inahitajika suzuki carry model kuanzia mwaka 99 na kuendelea, iwe katika hali nzuri. Bajeti isizidi 5m, nipo morogoro. nicheki pm kama unayo.
bukoba boy JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 5,376 Reaction score 3,976 Jun 20, 2015 #2 5m? Hali nzuri?
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,857 Reaction score 136,756 Jun 20, 2015 #3 rich73 said: Inahitajika suzuki carry model kuanzia mwaka 99 na kuendelea, iwe katika hali nzuri. Bajeti isizidi 5m, nipo morogoro. nicheki pm kama unayo. Click to expand... Kama uko serious nicheki kwa # hii 0715591141, nna suzuki carry kichwa kikubwa na kichwa kidogo, karibu
rich73 said: Inahitajika suzuki carry model kuanzia mwaka 99 na kuendelea, iwe katika hali nzuri. Bajeti isizidi 5m, nipo morogoro. nicheki pm kama unayo. Click to expand... Kama uko serious nicheki kwa # hii 0715591141, nna suzuki carry kichwa kikubwa na kichwa kidogo, karibu
QUALITY CARS JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 515 Reaction score 238 Jun 20, 2015 #4 Ipo mpya kabisa na body yake - 10.8 million
rich73 Member Joined Jun 21, 2014 Posts 20 Reaction score 2 Jun 20, 2015 Thread starter #5 bukoba boy said: 5m? Hali nzuri? Click to expand... Bukoba boy nini kinakushangaza hapo?
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,529 Reaction score 109,005 Jun 20, 2015 #6 Munawar said: Ipo mpya kabisa na body yake - 10.8 million Click to expand... Wewe unaelewa kiswahili? Kwahiyo hii bei ni pungufu siyo?
Munawar said: Ipo mpya kabisa na body yake - 10.8 million Click to expand... Wewe unaelewa kiswahili? Kwahiyo hii bei ni pungufu siyo?
QUALITY CARS JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 515 Reaction score 238 Jun 20, 2015 #7 Matola - tulia , chill