In The Closet

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
18,684
Reaction score
45,613
Helloww guys💁‍♀️

Last weekend nilikuwa mahali fulani hivi na rafiki zangu wawili wa kike ni katika kubadilisha mawazo na ku-share experiences mbalimbali za kimaisha na changamoto zake,.lakini kubwa lilikuwa ni kurefresh na kufurahia maisha japo kiduchu(baada ya hustles nyingi)...

Sasa katika mawili matatu,rafiki'angu mmoja aliuliza hivi "hivi jamani wenzangu,mnawezaje kukabiliana na hisia za mapenzi zinapokujia?unawezaje kumanage na kuepuka vishawishi na ikiwa uko "totally single" au mpenzi wako yuko mbali na hautamani wala huwezi kucheat(hata ukiwa single unaweza kuji-cheat pia)mnawezaje eti??

Mimi sikuwa na jibu kwa wakati huo kwakweli zaidi ya kumtania "tafuta bebi tuu dia usingo tuachie akina mc"🤗

Sasa,em niambieni hivi wewe unawezaje kuepuka kufanya dhambi hiyo hisia za kuplay "cuve game" zinapokujia(kwa wale singo na ambao hawataki kujisaliti/kusaliti wenza wao)???

Mimi zikininyemelea nasali novena😎
 

Attachments

  • GBWA-20190214213559.jpg
    48.4 KB · Views: 50
hapo dawa ni nyeto tuu aisee..

me hua nawashangaa sana wanaowasena tunaopiga nyeto wanadhanii h kitu n simple simple tuu lkn kupiga nyeto ina process zake na jambo la kwanza n kuwa single au anayekukuna yuko mbali..
Punyeto dhambi sasa😔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…