Habari,
Nilikua naomba kufahamu/kufahamishwa software inayoweza ku keep record za mapato na matumizi na inayoweza kufungua financial statments za kila mwezi.

unaijua QUICK BOOK, Je utahitaji, nitafute nikupe bure maana nataka hii nchi iendelee. na pia sihitaji hata 100 maana kuna watu wanaweza kuiona hii km fursa. nipo DSM