Kenya yenyewe (KDF) inaua tu
Ingia hapa Kenya says kills 50 Shabaab fighters in airstrikes | Top News | Reuters
Nimejaribu nifahamu unalotaka kusema lakini sioni ndani.KDF ikiua alshaabab inauwa lakini Al shaabab ikiuwa Wakenya haiuwi...ahhahaaaaa!
The safest capital in Africa under siege ... .... .. is that going to happen or its just another masters propaganda?
Nimejaribu nifahamu unalotaka kusema lakini sioni ndani.
Mkuu Kinyungu, Kenya imekwenda/ imeivamia Somalia kwa kisingizio kuwa inapigana na Al shabaab.Je Raia wangapi wasio na hatia wameshauawa na jeshi la Kenya au kila anaeuliwa ni Al shabaab.
Pili, Hawa wanaoitwa Al shabaab walikana kuhusika na utekaji nyara wa raia wa Kenya au wageni katika ardhi ya Kenya. Au kila anaeteka nyara watu ni Al shabaab?
Baada ya Kenya kuanza hiyo vita, Al shabaab ndio waliiambia Kenya kuwa watajibu mapigo. Kama umesoma hiyo habari ya juu utaelewa kuwa ndio sababu sasa hakuishi milipuko huko Kenya na vitisho hivyo kuwa wataripua.
Kenya wameingizwa hii vita na US, European nations aka war on terror.
Unakumbuka Ethiopia pia waliivamia Somalia kuwaondoa islamic courts ambao walikwishaanza kufanikiwa kuleta amani Somalia? Na mwanzo pia US walijipeleka huko katika "humanitarian misssion" yao?
Sishabikii Al shabaab, sishabikii Kenya lakini vita hii haihusiani na Al shabaab per se.Ni Recolonisation process na baadhi ya vikundi kama bokoharam, Al shaabab, Al qaeda affiliates vinatumika kutimiza azma hiyo. Baadhi ya nchi zanatumika pia kama officeboy.
Qatar imetumika Libya. Ethiopia ilitumika na inatumika tena sasa pamoja na Kenya katika hii mission ya Somalia.
kwa hiyo, yatakayotokea ni kuua,kuuana tu. Nani anafaidika?
Kwenye hii thread
https://www.jamiiforums.com/international-forum/182746-kenya-declares-war-on-al-shabaab.html
ipitie unaweza kusikia maoni mbali mbali halafu changanya na zako.
By the way, unakumbuka US alipotangaza vita dhidi ya Al qaeda? Miaka mingapi sasa?Expansion of US empire, strategy...war on terror, fight against exis of evils.

Nonda! kenya haijaivamia somalia bali imeenda kuwasaka al shabab. kuonesha kuwa hawajaivamia somalia, wanasaidiana na TFG ambao ndio mamlaka inayotambulika kimataifa huko somalia. ofcourse raia wasio na hatia wanakufa na hiyo ndo distinctive feature ya vita.Nimejaribu nifahamu unalotaka kusema lakini sioni ndani.
Mkuu Kinyungu, Kenya imekwenda/ imeivamia Somalia kwa kisingizio kuwa inapigana na Al shabaab.Je Raia wangapi wasio na hatia wameshauawa na jeshi la Kenya au kila anaeuliwa ni Al shabaab.
Pili, Hawa wanaoitwa Al shabaab walikana kuhusika na utekaji nyara wa raia wa Kenya au wageni katika ardhi ya Kenya. Au kila anaeteka nyara watu ni Al shabaab?
Baada ya Kenya kuanza hiyo vita, Al shabaab ndio waliiambia Kenya kuwa watajibu mapigo. Kama umesoma hiyo habari ya juu utaelewa kuwa ndio sababu sasa hakuishi milipuko huko Kenya na vitisho hivyo kuwa wataripua.
Kenya wameingizwa hii vita na US, European nations aka war on terror.
Unakumbuka Ethiopia pia waliivamia Somalia kuwaondoa islamic courts ambao walikwishaanza kufanikiwa kuleta amani Somalia? Na mwanzo pia US walijipeleka huko katika "humanitarian misssion" yao?
Sishabikii Al shabaab, sishabikii Kenya lakini vita hii haihusiani na Al shabaab per se.Ni Recolonisation process na baadhi ya vikundi kama bokoharam, Al shaabab, Al qaeda affiliates vinatumika kutimiza azma hiyo. Baadhi ya nchi zanatumika pia kama officeboy.
Qatar imetumika Libya. Ethiopia ilitumika na inatumika tena sasa pamoja na Kenya katika hii mission ya Somalia.
kwa hiyo, yatakayotokea ni kuua,kuuana tu. Nani anafaidika?
Kwenye hii thread
https://www.jamiiforums.com/international-forum/182746-kenya-declares-war-on-al-shabaab.html
ipitie unaweza kusikia maoni mbali mbali halafu changanya na zako.
By the way, unakumbuka US alipotangaza vita dhidi ya Al qaeda? Miaka mingapi sasa?Expansion of US empire, strategy...war on terror, fight against exis of evils.
nina shangazwa sana unawapigia alqaeda na boko haram ngoma.