PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,458
Nimefanikiwa kupata picha yao nitaweka naona net inasumbua sana saizi.
Watu hawawajui wameru, wanawafananisha na wanyamwezi wa Igunga, watuulize tuliowahi kuishi nao ukimdhulumu mmeru tafuta pa kutembelea, vijana wa kimeru jasiri halafu ubabe kwao uko kwenye damu. Mimi sina wasiwasi kabisa kuwa kura zitaibiwa labda kura za CDM zisitoshe kihalali.Wameru hawaibiwi waungwana!
Nassari mbunge mteule Arumeru wakubali wakatae
Most likely maelekezo maarum ni kupiga kura kwa ajili ...Katika kikao kilicho fanyanyika kwa siri kati ya raisi kikwete na maofisa wa chuo hicho,wamekubaliana wanafunzi waliohitimu mafunzo ya polisi jana,wote waletwe arumeru kwa maelekezo maalum watakayo pewa na viongozi wao wakiwa huko arumeru.habari hizi nimezipata toka kwa mmoja wa wahitumu hao,safari ya kuja arumeru itaanza saa kumi alfajiri.
sielewi hao polisi watakaa meru kwa muda gani kwani vita vya wameru haviishi kwa mtutu wa bunduki.
Ukisikia kuona ajira chungu ndo hapo, umemaliza mafunzo ccp na kukutana na hasira za wameru, wallahi wanakutenganisha shingo na kiwiliwili ukiwaibia kura zao kesho, nawaonea huruma hao kuruta iwapo watashiriki ujinga wa magamba wa kuiba kura.