Mkuu PongLenis sorry, ulifanikiwa jana kutengeneza Appl id? Mi jana niliidownload ila kila nikijaza spaces za kucreate new id wanasema kuna fields sijajaza. Msaada.
Kuna jamaa waliiongelea hii app ila kila nikijaribu kuweka link inazingua..!! Wanasema app ni fake na haifanyi inachodai kufanya..!! Wameweka mengi humo ndani waweza soma hapa
Copy hii hii link