PEVU HALISI
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 207
- 85
Ushampachika mimba jiandae kuwa baba.
Mwaka umemuanzia vizuriWrite your reply...ushatia mimba Kama ni mwanafunzi nakushauri hapo ulipo zima data kakate tiketi mapema kimbia mbali mkuu.
Sent by my TECNO AMBER RUTTY AG 7 using jamiiforums
Mimba si ningeshajua chiefUshampachika mimba jiandae kuwa baba.
Okay, nimekupataHuwa zinakupendeza so nae anapenda apendeze kama ww. Mpe avae apendeze
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimba si ningeshajua chief
Ushampachika mimba jiandae kuwa baba.
Mtihani sana.. Utakuta umeipenda na yeye kaipenda na anaitaka si watulie tu na zaoHua wanapenda tu hata kukaa nayo...inawezekana wakachukua na wasiivae..just hua znawafanya wajihisi wapo karibu nasi.....
Sema nilichukuliwaga nguo na shati langu la jinzi(nililipenda saana)....na mpk sasa anazo na anavaa(tumeshaachana lkn)
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda ikawa ni kweli ila si asilimia zote kwamba ndio ipo hivyo, naamini hiloHiv kuna ukweli juu ya hilo ??? Binafs mwaka 2019 nilianza nikiwa na mpenz wang na siku chache mbelen nlimkuta kavaa nguo zangu, nliona Kawaida tu lakin juz ananiambia anajihis ana mimba ila hajapima anangojea MP kuanzia tarehe 20+ ....nimeona hii comment nahusisha na kilichotokea bado sijui ni kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Me mwenyew siamin kama ni kwel kwenye hiloHuenda ikawa ni kweli ila si asilimia zote kwamba ndio ipo hivyo, naamini hilo
Hiv kuna ukweli juu ya hilo ??? Binafs mwaka 2019 nilianza nikiwa na mpenz wang na siku chache mbelen nlimkuta kavaa nguo zangu, nliona Kawaida tu lakin juz ananiambia anajihis ana mimba ila hajapima anangojea MP kuanzia tarehe 20+ ....nimeona hii comment nahusisha na kilichotokea bado sijui ni kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hiyo ni dalili ya mimba nyingine si mpaka uone, hebu akapime upate uhakika. Hiyo tabia wanayo wanawake wenye mimba changaMimba si ningeshajua chief
Okay, asante kwa mchangoWewe hiyo ni dalili ya mimba nyingine si mpaka uone, hebu akapime upate uhakika. Hiyo tabia wanayo wanawake wenye mimba changa
Subiri vipimo.....
Ila kuhakiki kama ni yako au laah.... hilo muachie muumba.
Niliipend mwenyew ile nguoMtihani sana.. Utakuta umeipenda na yeye kaipenda na anaitaka si watulie tu na zao