Kuna mchaga mmoja kule maeneo ya ROMBO naye alijitangaza eti kaoteshwa na bikira maria watu waende wakapige kikombe ili wapone. Naona aliona babu anacheza wakati hela nje nje wakati yeye hazitaki(babu). Sasas leo nimesikia kwenye redio "MAGAZETI" kwamba kapigwa stop mara moja na serikari sijui ya kijiji (Imeniacha kidogo) Nikajichekea kimoyo moyo kuona wahuni wanataka kujipenyeza watapeli watu!! Huyo ameshachelewa kabisaa maana wagonjwa maelfu wesha tibiwa huko Samunge na bado wengine wapelekwa
achaga noma na hawana aibu hawa jamaa