me sijaweka rom kwenye s5 yangu verizon(SM 900V) na haikubali hiyo function ya imei pia haikubali *#0*# pia haikubali *#7353# halafu kitu chengine hii simu ni veizon lakin nikipaste imei yake kwenye imei.info inanambia ni s5 print(SM 900P) sasa sijui which is which naona inanichanganya tu