1. Mvua ikinyesha wakati jua linawaka
.simba anazaa
2. Ukinywa maji ya nazi
utapata busha
3. Mtu akikuruka
..utakuwa mfupi
4. Usiokote chakula kilichodondoka
..shetani amekila
5. Mtu akikuuma, pka mavi ya kuku alipokuuma
meno yake yataoza
6. Ukifagia usiku
unafagia bahati
7. Ukingoa jino tupia juu ya bati
kunguru wakichukua watakuletea jingine
8. Ukimpiga mbayuwayu na manati chanjia damu yake unakuwa na shabaha
9. Ukivaa kiatu kimoja
titi la mamako litavimba
10. Mtu akisimama nyuma yako wakati umekaa anakunyonya damu
Na wewe ongezea.....