Imani ya wananchi kwa CHADEMA

Hapa hakuna maelezo zaidi ya umma,waliofikiria kama CDM imepoteza mwelekeo wamejidanganya wenyewe.
 
ukifuga nyoka andaa unga wa kumlisha,sisi unga wetu unawatosha watoto wetu tu watanzania waliokatishwa tamaa na mfumoCCM hatuna unga wa kufugia nyoka mkigoma and company ndio maana tukamtupilia nje.sasa tunasonga mbele.ajenda ya mijoka tushaizikilia mbali
 

Kwa ile move iliyoanza jana haki ya nani ccm ndo wanaaga kuitawala tz raia wana hasira kwa kweli duuh mwaka umeanza vizuri huu..
 
.... Wananchi timamu tunataka mabadiliko....
 
hii hatari sana shehe wangu presha inapanda presha inashuka...

hivi kwa nini hizi habari nzito namna hii sizioni kwenye magazeti na tv kuna shida gani. Yani magazeti mengi siku hizi yanaripoti udaku tu.
 
hivi kwa nini hizi habari nzito namna hii sizioni kwenye magazeti na tv kuna shida gani. Yani magazeti mengi siku hizi yanaripoti udaku tu.

Kwakweli inashangaza magazeti hayaja ripotiza mikutano ya CDM.aibu yao
 
lengo ni kuwapa elimu ya uraia waweze kujitambua na kuzisimamia,na kuzilinda raslimali zao bili woga!!!

Mwambie huyo mburula ana akili mgando kweli kweli...
 
Kujaa kwa watu katika mikutano isikupe moyo wa ushujaa wa kwamba utampiga adui yako kirahisi.




Wanaojaa kwenye miutano leo sio wapi kra kesho
 
Hata kama kunamwana ccm anaenda kusikiliza mikutano ya chadema ujue huyo anaakili timamu kunakitu anaenda kuelimika.
 
Wewe unadhani kuna mtz aliye ccm? Hata wewe ni mfuasi wa CDM kwa siri ili magamba wasije kukunyofoa nyeti zako. Je wamjua Ramadhan Ighondu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…