Mungu ni Mwema magamba, Wanazidi kupata mapigo bila kujua kwa kuwa wamefunga masikio kushambulia Chadema huku wakijisahau kufanya majukumu yao kama ipasavyo. Kitakachowaangamiza zaidi ni hili baraza kaputi lililorekebishwa hivi karibuni. Madeni yanaongezeka huku mahitaji ya fedha yakiwa ni mengi. Mchakamchaka wanaopelekwa nao sasa baada ya yule kiusi kuondolewa watajuta kumjua Zitto. Makamanda pamoja sana tushukamane usiku na mchana tukiomba kwa Mungu wetu mmoja ambaye tunamwabudu katika roho na kweli (Wakristo na Waislamu), ambaye ni mungu wa Kweli. Mpenda Amani, Mapendo na Ukombozi wa kweli. Pamoja sana tutashinda wadau.